MWANAMKE WA KITANZANIA on Clubhouse

MWANAMKE WA KITANZANIA Clubhouse
128 Members
Updated: Jul 18, 2024

Description

Ni klabu mahususi kwa ajili ya kutoa wasaa na nafasi ya kuongea, kushauriana, na kupeana maarifa juu ya mambo kadha wa kadha yanayomgusa mwanamke wa Kitanzania. Jukwaa mahususi ya kuongea mambo ya uchumi, ujasiliamali, malezi, afya, mahusiano, ndoa, watoto, changamoto za maisha na utatuzi wake. Tutapeana na kushirikishana fursa, za kibiashara, kielimu, mikopo nafuu, ajira, kujiajiri, kilimo, n.k.

Unakaribishwa pia kuanzisha chumba kwa mada ambazo zinamhusu mwanamke wa kitanzania.

Kwakuwa maisha ya sasa wanawake na wanaume tunategemeana hivyo kuna wakati mada zetu zitapata nafasi ya kiwakaribisha wanaume ili kuzidi kujengeana uzoefu.

Karibu sana.

Last 30 Records

Day Members Gain % Gain
July 18, 2024 128 +3 +2.4%
April 22, 2024 125 +1 +0.9%
February 11, 2024 124 0 0.0%
December 28, 2023 124 +1 +0.9%
November 14, 2023 123 0 0.0%
October 14, 2023 123 +1 +0.9%
September 15, 2023 122 0 0.0%
August 17, 2023 122 +1 +0.9%
July 15, 2023 121 +1 +0.9%
June 21, 2023 120 +2 +1.7%
March 19, 2023 118 0 0.0%
March 04, 2023 118 +2 +1.8%
January 20, 2023 116 +1 +0.9%
December 28, 2022 115 +1 +0.9%
October 24, 2022 114 +1 +0.9%
September 26, 2022 113 +3 +2.8%
September 07, 2022 110 +2 +1.9%
August 21, 2022 108 +1 +1.0%
August 08, 2022 107 +1 +1.0%
August 02, 2022 106 +2 +2.0%
July 26, 2022 104 +1 +1.0%
July 20, 2022 103 +3 +3.0%
July 13, 2022 100 +1 +1.1%
July 07, 2022 99 +1 +1.1%
June 30, 2022 98 +2 +2.1%
June 24, 2022 96 +1 +1.1%
June 17, 2022 95 +1 +1.1%
June 11, 2022 94 +2 +2.2%
June 04, 2022 92 +1 +1.1%
May 02, 2022 91 +4 +4.6%

Charts

Some Club Members

More Clubs