WAJASIRIAMALI DODOMA on Clubhouse

WAJASIRIAMALI DODOMA Clubhouse
45 Members
Updated: Mar 3, 2024

Description

WAJASIRIAMALI DODOMA
=================================

📍Dodoma, Tanzania 🇹🇿
==================================
| Kukuza uelewa | Kujenga uwezo | Kuunganisha wazalishaji, wasambazi, wauzaji na walaji | kuimarisha taasisi, Biashara, Kampuni |
==================================


Wajasiriamali Dodoma (WD) Ni Chama Cha kijamii kinachowaunganisha wajasiriamali wadogo na wakubwa ili kuuza huduma na bidhaa kws jamii ya yetu ili kutatua changamoto mbalimbali za wanajamii.

Maono: kuwa chombo Bora kinachowaunganisha wajasiriamali katika ushirikina shughuli za uuzaji na usambazi wa huduma na bidhaa.

Dhamira: Kuhakikisha kwamba huduma na bidhaa zinazolishwa na wazalishaji zinawafikia walaji na watumiaji kwa wakati.

Malemgo:
1. Kukuza uelewa.
Kutoa elimu na mafunzo ya ujasiriamali kwa wajasiriamali na wadau wanaohusika na ujasiriamali kwa njia ya makongamano, semina, warsha, mikutano na vikao.

2. Kujenga uwezo
Kuwajengengea uwezo wajasiriamali ili kuwawezesha kuwa rasmi na kufanya shughuli za ujasiriamali kwa kiwango kinachokubalika kitaifa na kimataifa

3. Kuunganisha wajasiriamali
Kuwaunganisha wajasiriamali ambao Ni wazalishaji, wauzaji, wasambaji na walaji.

4. Kuimarisha taasisi, biashara au makampuni ya wajasiriamali.
==================================

Anuani
Chinangali
P. O. Box
Dodoma, Tanzania.

Simu +25713660067
Baruapepe: [email protected]
Mwanachana: Ili kushiriki katika club hii unatakiwa uwe mwanachama uliyesajiliwa na kutambuliwa na uongozi wa chama cha wajasiriamali mkoa wa Dodoma
Ushiriki: Kumbuka hii ni club halali, una uhuru wa kutoa maoni yako wakati wowote na kusikiliza maoni ya wengine wakati wowote, unakumbushwa kuwa mvumilivu pale mwenzako, hakikisha unakosoa kwa staha.
Kanuni, Sheria, Taratibu: Unatakiwa kufuata sheria, kanuni, Taratibu zote za zinazofafanua kuhusu matumizi sahihi ya mtandao na makosa ya jinai, Kinyume na hivyo utawajibika kwa ukiukwaji wowote utakaousababisha.

Last 30 Records

Day Members Gain % Gain
March 03, 2024 45 0 0.0%
January 13, 2024 45 0 0.0%
November 29, 2023 45 0 0.0%
October 25, 2023 45 +2 +4.7%
September 25, 2023 43 0 0.0%
August 27, 2023 43 +1 +2.4%

Charts

Some Club Members

More Clubs