Tanzania Prayer Room on Clubhouse

Tanzania Prayer Room Clubhouse
150 Members
Updated: Mar 13, 2024

Description

Maombi yetu yanaelekezwa Kwa Mungu pekee,: Mungu ndiye aliyeumba vyote na yeye ni yote katika yote. Majibu ya maombi yetu yanatoka kwake pekee si kwa malaika wala mwanadamu yoyote. Anajibu kwa wingi wa hekima yake na fadhili zake. Maombi yetu yanaelekezwa kwake daima. Yeye ni Baba na Mungu kwetu.
Omba Kwa Jina la Yesu tu!: Kwetu, Yesu Kristo ndiyo msingi wa imani yetu kila wakati, hatuombi kwa jina zaidi ya jina lake yeye tu. Hakuna njia ingine ya kumfikia Mungu isipokuwa ni katika Yesu Kristo. Hivyo, amini kuwa Yesu Kristo ni Njia, Kweli na Uzima
Amini katika Roho Mtakatifu: Roho Mtakatifu ni Msaidizi na Mwalimu wetu, kwa yeye tufundishwa na kusaidiwa kuomba itupasavyo kama apendavyo Mungu.

Rules

Maombi yetu yanaelekezwa Kwa Mungu pekee,

Mungu ndiye aliyeumba vyote na yeye ni yote katika yote. Majibu ya maombi yetu yanatoka kwake pekee si kwa malaika wala mwanadamu yoyote. Anajibu kwa wingi wa hekima yake na fadhili zake. Maombi yetu yanaelekezwa kwake daima. Yeye ni Baba na Mungu kwetu.

Omba Kwa Jina la Yesu tu!

Kwetu, Yesu Kristo ndiyo msingi wa imani yetu kila wakati, hatuombi kwa jina zaidi ya jina lake yeye tu. Hakuna njia ingine ya kumfikia Mungu isipokuwa ni katika Yesu Kristo. Hivyo, amini kuwa Yesu Kristo ni Njia, Kweli na Uzima

Amini katika Roho Mtakatifu

Roho Mtakatifu ni Msaidizi na Mwalimu wetu, kwa yeye tufundishwa na kusaidiwa kuomba itupasavyo kama apendavyo Mungu.

Last 30 Records

Day Members Gain % Gain
March 13, 2024 150 +1 +0.7%
January 23, 2024 149 0 0.0%
December 10, 2023 149 0 0.0%
November 01, 2023 149 +1 +0.7%
October 02, 2023 148 0 0.0%
September 02, 2023 148 0 0.0%
August 05, 2023 148 +1 +0.7%
July 04, 2023 147 +1 +0.7%
April 08, 2023 146 +2 +1.4%
March 13, 2023 144 +3 +2.2%
January 26, 2023 141 +2 +1.5%
January 15, 2023 139 +1 +0.8%
January 03, 2023 138 +2 +1.5%
December 27, 2022 136 +1 +0.8%
December 23, 2022 135 +3 +2.3%
November 17, 2022 132 +3 +2.4%
October 03, 2022 129 +1 +0.8%
September 17, 2022 128 -1 -0.8%
September 11, 2022 129 +1 +0.8%
September 01, 2022 128 +1 +0.8%
August 19, 2022 127 +1 +0.8%
August 12, 2022 126 +2 +1.7%
August 06, 2022 124 +1 +0.9%
July 04, 2022 123 +4 +3.4%
June 02, 2022 119 +2 +1.8%
April 29, 2022 117 +1 +0.9%
April 08, 2022 116 +1 +0.9%
March 17, 2022 115 +1 +0.9%
March 10, 2022 114 +17 +17.6%
November 17, 2021 97 +19 +24.4%

Charts

Some Club Members

More Clubs