Mnakaribishwa sana kwenye Club ya Shududa Mbalimbali.
Hii Club ni ya watu wote wenye kupenda kutoa au kusikiliza shuhuda za watu tofauti kutoka sehemu mbali mbali.
Madhumuni na nia ya hii club.
✔️Ni kutoa nafasi kwa watu kutoa shuhuda na experiences zao mbalimbali walizopitia katika maisha bila kuficha chochote wala uwoga wa kuelezea shuhuda zao.
✔️Lengo la shuhuda hizi ziwe mafunzo/kutuelimisha na kutujenga ktk maisha yetu ya kila siku.
Asanteni sana na wote mnakaribishwa 🙏🙏
KAULI YETU YA DHAMIRA NI.
✔️Kuleta ufahamu wa kiroho/kidunia kulingana na uzoefu na shuhuda za watu.
✔️Kutoa usaidizi wa kiroho/kidunia kupitia ushauri na motivations za kutia moyo.
✔️Kusaidia kazi ya umission/miradi na programu mbalimbali.
✔️Kusaidia wahitaji yaani Yatima/wajane/wasio na makazi/wagonjwa n.k.
ENGLISH VERSION.
OUR MISSION STATEMENT IS.
✔️ To bring awareness based on peoples experiences and testimonies.
✔️ To provide support through counceling and motivational advice.
✔️To support mission work and recovery programs.
✔️ To support the needy i.e Orphans/widows/homeless/the sick etc.
Hatu Ruhusu Matusi au Kejeli.: Heshima kwa wote.
Day | Members | Gain | % Gain |
---|---|---|---|
June 07, 2024 | 2,445 | +15 | +0.7% |
March 10, 2024 | 2,430 | +37 | +1.6% |
January 20, 2024 | 2,393 | +58 | +2.5% |
December 07, 2023 | 2,335 | +19 | +0.9% |
October 30, 2023 | 2,316 | +5 | +0.3% |
September 30, 2023 | 2,311 | +98 | +4.5% |
September 01, 2023 | 2,213 | +40 | +1.9% |
August 03, 2023 | 2,173 | +71 | +3.4% |
July 03, 2023 | 2,102 | +191 | +10.0% |