Jukwaa mahususi kwaajili ya mijada mbalimbali inayolenga kuvuka epeo wa fikra mazoe/mashuhuri za tabaka tawala.
Tunahimiza uchambuzi wenye kuibua na kutoa mbadala wa fikra zilizozoezeka katika kuchambua na kupendekeza suluhu kwa changamoto mbalimbali.
Staha na Stahamili ni SHURUTI.
Staha: Kwa kuwa kila mtu anayo mawazo na uzoefu basi kuheshimiana na kusikilizana ni SHURUTI ima unakubalina ama hukubaliani na mawazo husika.Suluhu ni kumuachia mwenye mawazo yake akae nayo.MATUSI HAPANA.
Masuala si watu: Mijadala itajielekeza kujadili masuala ya nayogusa ama muathiri mustakabali wa watu na ai mambo au myenendo binafsi ya watu.Waratibu watakuwa wakali katika hili.
Muda: Ni jukwaa la mijadala si hutba,risala ama unasihi.Ni muhimu kuheshimu hali ya "wengi wanayo mawazo na wangependa kuyawasilisha", hivyo tusinishe masuala kwa ufupi kwa kuzingatia hoja za msingi.
Staha
Kwa kuwa kila mtu anayo mawazo na uzoefu basi kuheshimiana na kusikilizana ni SHURUTI ima unakubalina ama hukubaliani na mawazo husika.Suluhu ni kumuachia mwenye mawazo yake akae nayo.MATUSI HAPANA.
Masuala si watu
Mijadala itajielekeza kujadili masuala ya nayogusa ama muathiri mustakabali wa watu na ai mambo au myenendo binafsi ya watu.Waratibu watakuwa wakali katika hili.
Muda
Ni jukwaa la mijadala si hutba,risala ama unasihi.Ni muhimu kuheshimu hali ya "wengi wanayo mawazo na wangependa kuyawasilisha", hivyo tusinishe masuala kwa ufupi kwa kuzingatia hoja za msingi.
Day | Members | Gain | % Gain |
---|---|---|---|
June 11, 2024 | 123 | 0 | 0.0% |
March 13, 2024 | 123 | 0 | 0.0% |
January 23, 2024 | 123 | +1 | +0.9% |
December 09, 2023 | 122 | 0 | 0.0% |
November 01, 2023 | 122 | 0 | 0.0% |
October 01, 2023 | 122 | 0 | 0.0% |
September 02, 2023 | 122 | 0 | 0.0% |
August 04, 2023 | 122 | 0 | 0.0% |
July 04, 2023 | 122 | +4 | +3.4% |
April 08, 2023 | 118 | 0 | 0.0% |
March 13, 2023 | 118 | 0 | 0.0% |
August 19, 2022 | 118 | +1 | +0.9% |
August 12, 2022 | 117 | +1 | +0.9% |
May 26, 2022 | 116 | +1 | +0.9% |
May 13, 2022 | 115 | +1 | +0.9% |
March 09, 2022 | 114 | +14 | +14.1% |
November 18, 2021 | 100 | +2 | +2.1% |
November 04, 2021 | 98 | +13 | +15.3% |