Kanuni #1. Jiunge na follow wenzako: Ukishaingia Twijuke Kashule hakikisha una-join hii club kwa kubonyeza kitufe cha Twijuke Kashule. Pia follow wanakamati wote.
Kanuni #2. Zima mic, Ongea unaporuhusiwa.: Ukiingia hakikisha mic yako umezima. Ukitaka kuzungumza, unabonyeza mic mara kadhaa na kuzima. Moderator atakuruhusu kuongea. Epuka kuingilia ikiwa kuna mtu anazungumza. Usimkatishe.
Kanuni #3. Maoni yako ni muhimu. Heshimu maoni ya wengine.: Uhuru wa kutoa maoni ni wa kila mtu maadamu hayavunji mwongozo, katiba na kanuni zetu.