• Huu ni mtandao wa wajasiriamali wenye dhamira ya kuujenga ufalme wa Mungu kupitia biashara zao 📖 
•Lengo ni kujenga utamaduni wa kujipatia UTAJIRI wa KUDUMU na wenye HESHIMA mbele za Mungu huku tukimtangaza Kristo. 1Nyakati 29: 12
1. Jinsi ya kushiriki mijadala: 👉Hakikisha umekuwa member wa mtandao wetu ili kupata fursa ya kuchangia. Hakikisha mchango wa maoni yako hautoki nje ya mada husika
2. Matumizi ya Lugha: 👉Biblepreneure Network tunaamini katika kuheshimiana, kupendana na kutiana moyo. Ni marufuku kutumia lugha inayokwenda kinyume na 👆 tunayoamini.
3  Matumizi ya Chart Room: Ni marufuku ku post matangazo ya biashara kwenye chartroom. Chartroom ni kwa ajili ya mjadala ulioko hewani tu na si vinginevyo. Uki- post kitu cha tofauti moderator atalazimika kufuta
| Day | Members | Gain | % Gain | 
|---|---|---|---|
| July 17, 2024 | 174 | 0 | 0.0% | 
| April 20, 2024 | 174 | 0 | 0.0% | 
| February 10, 2024 | 174 | 0 | 0.0% | 
| December 27, 2023 | 174 | 0 | 0.0% | 
| November 14, 2023 | 174 | 0 | 0.0% | 
| October 14, 2023 | 174 | 0 | 0.0% | 
| September 14, 2023 | 174 | 0 | 0.0% | 
| August 16, 2023 | 174 | +1 | +0.6% |