HUDUMA YA NABII ELIYA on Clubhouse

HUDUMA YA NABII ELIYA Clubhouse
97 Members
Updated: May 30, 2024

Description

✓Hii ni huduma ya kutangaza Injili ya Ufalme wa Mungu kabla ya mwisho haujaja kama ilivyotabiriwa MATHAYO 24:14
✓Injili hii itaongozwa na Roho ya Eliya kama ilivyotabiriwa katika vitabu vyote vya Biblia na Qur'an
✓Utabiri wa ujio wa Roho ya Eliya duniani kabla ya Masihi Issa(Yesu) kuja upo katika Biblia, Ufunuo 11:3, Malaki 4:4-6 na Mathayo 17:10-11
✓Katika Qur'an ametabiriwa katika Hadithi ya Swahih Muslim hadith No 2937, Albidaya Wanihaya 95, Qur'an 37:129-130
✓Huduma hii inatumia vitabu vyote QUR'AN TUKUFU na BIBLIA TAKATIF na ndio yenye mamlaka ya kutengeneza nyika ambapo watu wa Mungu watakimbilia wakati wa utawala wa Mpinga Kristo
✓Huduma hii itaenea ulimwenguni kote (Mathayo 24:14) ikiwaonya watu juu ya hila za mpinga kristo( Masihi Dajjal) watakaoelwa na kufata maelekezo ya huduma hii ndio watakuwa salama na ndio pekee watakutana na Yesu Kristo (Isa bin Maryam).

Nabii Eliya +255714 750521
Mwl Gregory +255787 115758
Mwl Datius +255686 968630

Last 30 Records

Day Members Gain % Gain
May 30, 2024 97 +1 +1.1%
March 07, 2024 96 +1 +1.1%
January 17, 2024 95 0 0.0%
December 03, 2023 95 +1 +1.1%
October 28, 2023 94 0 0.0%
September 28, 2023 94 0 0.0%
August 29, 2023 94 0 0.0%

Charts

Some Club Members

More Clubs