SAUTI HURU on Clubhouse

SAUTI HURU Clubhouse
272 Members
Updated: Mar 13, 2024

Description

🚦Sauti Huru ni jukwaa linalokutanisha vijana kupaza sauti zao na kujadili mambo yanayohusu elimu ya uraia, haki na uwajibikaji.
Heshimu Mawazo Tofauti: Tunaishi katika ulimwengu tuna tofautiana mawazo. Hakuna mtu aliye sahihi kuliko mwingine. Heshimu mawazo ya mwingine pasipo kumtolea maneno machafu,kejeli na dhihaki.
Usichukulie Mambo Binafsi: Mawazo na mitazamo ya watu wengine haikuhusu wewe binafsi. Kumbuka sheria ya kwanza, mawazo na maoni ya mtu ni kwa ajili ya kujenga hoja na haihusiani na wewe.
Sikiliza Kabla ya Kuzungumza: Ruhusu kusikiliza wazungumzaji waliokutangulia. Kuna jambo unaweza kujifunza kutoka kwao ambalo likakusaidia kuweka hoja yako sawa.

Rules

Heshimu Mawazo Tofauti

Tunaishi katika ulimwengu tuna tofautiana mawazo. Hakuna mtu aliye sahihi kuliko mwingine. Heshimu mawazo ya mwingine pasipo kumtolea maneno machafu,kejeli na dhihaki.

Usichukulie Mambo Binafsi

Mawazo na mitazamo ya watu wengine haikuhusu wewe binafsi. Kumbuka sheria ya kwanza, mawazo na maoni ya mtu ni kwa ajili ya kujenga hoja na haihusiani na wewe.

Sikiliza Kabla ya Kuzungumza

Ruhusu kusikiliza wazungumzaji waliokutangulia. Kuna jambo unaweza kujifunza kutoka kwao ambalo likakusaidia kuweka hoja yako sawa.

Last 30 Records

Day Members Gain % Gain
March 13, 2024 272 +4 +1.5%
January 23, 2024 268 +9 +3.5%
December 09, 2023 259 +5 +2.0%
November 01, 2023 254 +8 +3.3%
October 01, 2023 246 +18 +7.9%
September 02, 2023 228 +2 +0.9%
August 04, 2023 226 +9 +4.2%
July 04, 2023 217 +47 +27.7%
April 08, 2023 170 +6 +3.7%
March 13, 2023 164 +7 +4.5%
January 26, 2023 157 +2 +1.3%
January 22, 2023 155 +3 +2.0%
January 15, 2023 152 +2 +1.4%
January 03, 2023 150 +2 +1.4%
December 31, 2022 148 +1 +0.7%
December 27, 2022 147 +1 +0.7%
December 23, 2022 146 +3 +2.1%
November 29, 2022 143 +1 +0.8%
November 23, 2022 142 +1 +0.8%
November 10, 2022 141 +3 +2.2%
November 04, 2022 138 +1 +0.8%
October 28, 2022 137 +2 +1.5%
October 15, 2022 135 +1 +0.8%
October 08, 2022 134 +2 +1.6%
October 03, 2022 132 +1 +0.8%
September 29, 2022 131 +2 +1.6%
September 24, 2022 129 +1 +0.8%
September 17, 2022 128 -1 -0.8%
September 01, 2022 129 +3 +2.4%
August 25, 2022 126 +3 +2.5%

Charts

Some Club Members

More Clubs