TZ NI MATOKEO YA UZALENDO on Clubhouse

TZ NI MATOKEO YA UZALENDO Clubhouse
115 Members
Updated: Jun 4, 2024

Description

Lugha rasmi ni KISWAHILI, Kiingereza kwa dharura sana: Ili kudumisha utamaduni wa Uzalendo tutazungumza lugha ya kizalendo (Kiswahili) inayoeleweka kwa wote.
Lugha zenye UKALI wa Maneno, Kudhalilisha haziruhusiwi: Usitoe lugha za Matusi, Dharau au Kejeli. Usitaje jina la mtu kwa mfano mbaya bila ridhaa yake. Kufanya hivyo utaondolewa kwenye chumba na hatua za kisheria.
Taarifa za uzushi zitamhusu aliyezusha.: Ikitokea mtu yeyote akatoa taarifa za uzushi zenye kuhatarisha usalama wa Mtu mwingine au taifa vyombo husika vitashughulika naye kwa mujibu wa Sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Rules

Lugha rasmi ni KISWAHILI, Kiingereza kwa dharura sana

Ili kudumisha utamaduni wa Uzalendo tutazungumza lugha ya kizalendo (Kiswahili) inayoeleweka kwa wote.

Lugha zenye UKALI wa Maneno, Kudhalilisha haziruhusiwi

Usitoe lugha za Matusi, Dharau au Kejeli. Usitaje jina la mtu kwa mfano mbaya bila ridhaa yake. Kufanya hivyo utaondolewa kwenye chumba na hatua za kisheria.

Taarifa za uzushi zitamhusu aliyezusha.

Ikitokea mtu yeyote akatoa taarifa za uzushi zenye kuhatarisha usalama wa Mtu mwingine au taifa vyombo husika vitashughulika naye kwa mujibu wa Sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Last 30 Records

Day Members Gain % Gain
June 04, 2024 115 +2 +1.8%
March 09, 2024 113 +1 +0.9%
January 19, 2024 112 +1 +1.0%
December 06, 2023 111 0 0.0%
October 30, 2023 111 0 0.0%
September 29, 2023 111 +3 +2.8%
August 31, 2023 108 +1 +1.0%
August 03, 2023 107 +1 +1.0%
July 02, 2023 106 +3 +3.0%
April 06, 2023 103 0 0.0%
March 12, 2023 103 +1 +1.0%
August 31, 2022 102 +1 +1.0%
June 27, 2022 101 +1 +1.0%
May 19, 2022 100 +1 +1.1%
April 28, 2022 99 +1 +1.1%
April 21, 2022 98 +2 +2.1%
April 07, 2022 96 +1 +1.1%
April 01, 2022 95 +2 +2.2%
March 23, 2022 93 -1 -1.1%
March 09, 2022 94 +6 +6.9%
November 12, 2021 88 +1 +1.2%
November 07, 2021 87 +1 +1.2%

Charts

Some Club Members

More Clubs