UfalmeTV on Clubhouse

UfalmeTV Clubhouse
437 Members
Updated: Mar 20, 2024

Description

Ufalme TV Ni kituo cha televisheni ya mtandaoni kikichoanzishwa na Ngd Elirehema Msuya, yenye Ofisi zake katika jengo la Capital City Mall lililoko Dodoma Tanzania. Watazamaji na wafuatiliaji wa Ufalme TV ni watoto, vijana, watu wa makamo, na wazee wa jinsia zote bila kujali Dini, Rangi, kabila, ukanda, Itikadi, nk.

Maono
Kuwa televisheni bora na ya kwanza inayohabarisha, kuburudisha na kufundisha watanzania, waafrika na watu wote duniani ili kuwa jamii salama yenye uwezo wa kukabiliana na changamoto zinazowazunguka.

Dhamira
Kutumia rasilimali zetu ili kuihubiri injili ya kweli na mafundisho sahihi kama ilivyoelekezwa katika kitabu cha Yakobo 1:27.

Malengo
1 Kukuza uelewa
(Mafunzo: Semina, warsha, mikutano, majadiliano, Vikao) kwa njia ya mtandao.

2 Kujenga uwezo
Kupitia matendo ya huduma, na injili ya kweli kwa wale wenye karama za utumiaji.

3 Kushirikiana na wengine
Kuungana na watu binafsi, Makanisa, madhebu, Dini na Imani mbalibali zinazomkiri kwamba Yesu ni Bwana na Mwokozi.

4 Ushawishi na utetezi
Kutoa msaada wa Hali na Mali katika kusaidia kufikia utekelezaji wa Mikakati na mpango ili kufikia malengo yaliyowekwa.
=================================

Anuani
Mtaa Njedengwa East, Makulu
S. L. P. 1413
Dodoma, Tanzania.

Mawasiliano
Simu:
☎️ +255 712 100300
📱 +255 786 100300
📞 +255 763 100300
Baruapepe: [email protected]
Whatsaap +255 712 100300
Facebook: UfalmeTV
YouTube: UfalmeTV
Clubhouse : UfalmeTV
==================================


Kama umebarikiwa nasi unaweza kutusaidia kufikisha huduma yetu kwenye watu wenye uhitaji kwa kuchangia kupitia

Akaunti namba: 3009111208280
Benki: EQUITY TANZANIA
Jina: ELIREHEME GODFREY MSUYA
Swisft Code: EQBLTZTZ

MPESA - 0763100300
TIGOPESA - 0712100300
AIRTELMONEY - 0786100300



==================================
Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa. (Yakobo 1:27)

==================================





RATIBA YA WIKI
````````````````````````````````````````
Jumatatu: TEKNOLOJIA

Jumanne: SIASA

Jumatano: UCHUMI

Alhamisi: JAMII

Ijumaa: MWISHO WA WIKI (WEEKEND)

Jumamosi: MTANGAZO YA MOJA KWA MOJA

Jumapili DINI/IMANI
Kuwa Mwema, Mkweli na Muadilifu: Kumbuka katika club yetu tuna viongozi wa Dini na watu kariba zote unapochangia mada jitahidi kueleza vile umepitia au unavyofahmu bila kumuathiri mwingine, Ukweli na uadilifu ni mambo ya msingi.
Heshimu Faragha: Tafadhali heshimu faragha za taarifa za mwenzako au mwingine, endapo mwana club amezungumza jambo ambalo linamuhusu yeye basi zingatia kwamba yanayojadiliwa hapa yana baki hapa hapa
Uvunjifu wa Sheria: club yetu inasimamiwa na kuongozwa na sheria za kitaifa na kimataifa, hivyo unapovunja sheria uomgozi wa club unaweza kukuchukulia hatua na kusaidia kuwajibishwa kwa ajiki ya usalama wako na wenzako

Rules

Kuwa Mwema, Mkweli na Muadilifu

Kumbuka katika club yetu tuna viongozi wa Dini na watu kariba zote unapochangia mada jitahidi kueleza vile umepitia au unavyofahmu bila kumuathiri mwingine, Ukweli na uadilifu ni mambo ya msingi.

Heshimu Faragha

Tafadhali heshimu faragha za taarifa za mwenzako au mwingine, endapo mwana club amezungumza jambo ambalo linamuhusu yeye basi zingatia kwamba yanayojadiliwa hapa yana baki hapa hapa

Uvunjifu wa Sheria

club yetu inasimamiwa na kuongozwa na sheria za kitaifa na kimataifa, hivyo unapovunja sheria uomgozi wa club unaweza kukuchukulia hatua na kusaidia kuwajibishwa kwa ajiki ya usalama wako na wenzako

Last 30 Records

Day Members Gain % Gain
March 20, 2024 437 +3 +0.7%
January 30, 2024 434 0 0.0%
December 17, 2023 434 +5 +1.2%
November 06, 2023 429 +3 +0.8%
October 07, 2023 426 +3 +0.8%
September 07, 2023 423 +2 +0.5%
August 09, 2023 421 0 0.0%
July 08, 2023 421 +1 +0.3%
June 15, 2023 420 +3 +0.8%
March 15, 2023 417 +14 +3.5%
February 03, 2023 403 +1 +0.3%
January 27, 2023 402 +1 +0.3%
January 19, 2023 401 +1 +0.3%
January 15, 2023 400 +1 +0.3%
January 08, 2023 399 +5 +1.3%
January 04, 2023 394 -1 -0.3%
December 27, 2022 395 +1 +0.3%
December 24, 2022 394 +1 +0.3%
November 24, 2022 393 +1 +0.3%
November 18, 2022 392 +2 +0.6%
November 11, 2022 390 +2 +0.6%
October 29, 2022 388 +1 +0.3%
October 23, 2022 387 +2 +0.6%
October 16, 2022 385 +1 +0.3%
October 09, 2022 384 +3 +0.8%
October 04, 2022 381 +1 +0.3%
September 30, 2022 380 +2 +0.6%
September 24, 2022 378 +1 +0.3%
September 18, 2022 377 +1 +0.3%
September 11, 2022 376 +3 +0.9%

Charts

Some Club Members

More Clubs