FUNDIGARI on Clubhouse

FUNDIGARI Clubhouse
295 Members
Updated: May 18, 2024

Description

Karibu tujadiliane teknolojia za magari, ukarabati na utunzaji wa magari.

Uliza maswali (Q) na pata majibu (A). Pokea ushauri wa kitaalamu kuhusiana na hitilafu za magari.

10Min - Habari za Leo duniani.
20Min - Topic ya Leo(Maoni/Maswali)
30min - Gari lako - maswali kwa topic yoyote

#1 Tupo hapa kujifunza: Hakuna swali wala jibu la kijinga. Heshimu maoni ya wengine

#2. Si kila swali lina jibu: Heshimu majibu ya wengine hata kama yana kasoro, tupatie jibu lako kuweka sawa kilichopungua

Last 30 Records

Day Members Gain % Gain
May 18, 2024 295 +6 +2.1%
February 25, 2024 289 +82 +39.7%
January 11, 2024 207 +1 +0.5%
November 27, 2023 206 0 0.0%
October 24, 2023 206 0 0.0%
September 24, 2023 206 +1 +0.5%
August 25, 2023 205 +2 +1.0%

Charts

Some Club Members

More Clubs