KeirographoneGnosis on Clubhouse

KeirographoneGnosis Clubhouse
121 Members
Updated: Mar 13, 2024

Description

Karibu.

Mahali hapa ni maalum kwa ajili ya kujadili masuala ya imani mbalimbali hasa ya Kikristo kitaaluma. Mahali hapa si pa kuhubiri bali kujifunza.

Kauli mbiu yetu ni: IMANI YAKO NI WAJIBU WAKO WEWE MWENYEWE....!!

TAHADHARI: Usiingie ikiwa imani yako bado haijatengamaa ulipo! Kwa kuwa, "The mind, once stretched by a new idea, never returns to its original dimensions" - Ralph Waldo Emerson na;

Mhubiri 1:17-18

[17]Nikatia moyo wangu ili kuijua hekima, na kujua wazimu na upumbavu; nikatambua ya kwamba hayo yote nayo ni kujilisha upepo.

[18]Yaani,
Katika wingi wa hekima mna wingi wa huzuni;
Naye aongezaye maarifa huongeza masikitiko.

Uamuzi ni wako!

Last 30 Records

Day Members Gain % Gain
March 13, 2024 121 0 0.0%
January 23, 2024 121 0 0.0%
December 10, 2023 121 +1 +0.9%
November 01, 2023 120 0 0.0%
October 02, 2023 120 +1 +0.9%
September 02, 2023 119 0 0.0%
August 05, 2023 119 0 0.0%

Charts

Some Club Members

More Clubs