Ufunuo 21:1-3
Kisha nikaona mbingu mpya na nchi mpya; kwa maana mbingu za kwanza na nchi ya kwanza zimekwisha kupita, wala hapana bahari tena.
[2] Nami nikauona mji ule mtakatifu, Yerusalemu mpya, ukishuka kutoka mbinguni kwa Mungu, umewekwa tayari, kama bibi-arusi aliyekwisha kupambwa kwa mumewe.
[3] Nikasikia sauti kubwa kutoka katika kile kiti cha enzi ikisema, Tazama, maskani ya Mungu ni pamoja na wanadamu, naye atafanya maskani yake pamoja nao, nao watakuwa watu wake. Naye Mungu mwenyewe atakuwa pamoja nao.
Day | Members | Gain | % Gain |
---|---|---|---|
June 25, 2024 | 47 | +2 | +4.5% |
March 20, 2024 | 45 | +3 | +7.2% |
January 30, 2024 | 42 | 0 | 0.0% |
December 16, 2023 | 42 | 0 | 0.0% |
November 06, 2023 | 42 | 0 | 0.0% |
October 06, 2023 | 42 | +3 | +7.7% |
September 07, 2023 | 39 | -1 | -2.5% |
August 09, 2023 | 40 | +1 | +2.6% |